Andreas bado anafanya kazi Aachen, lakini Dr Thürmann amepata kazi mpya kwa mwenye mtizamo wa kuwa mwandishi habari. Berlin: Jiji kubwa na linalovutia zaidi linamsubiri. Mambo muhimu ya sarufi: Wakati uliopita hali ya kuendelea, vishazi tegemezi, kubadilika kwa vivumishi. ...testing
Feedback