Sign In
Help
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Most Popular

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja. ...testing
Feedback
Most Popular
There is no content in Turkish. Instead showing content in English.


Nothing is found...

You might also like